Lyrics: Diamond Platnumz – Kamata


Welcome To VirginsMusic.Com --- For Your Music | Video | Dj Mixtape | Free Beatz | Advert & Comeddy Skit Uploading In This Website Contact Us At +2347050278444 Or Email Us: At [email protected] ---- Thanks For Your Petronage.


Tanzanian Metro Dance Hall singer “Diamond Platnumz ” Dished out this new song Named “Kamata” Afropop and Bongo Flava collide in ‘Kamata’ It’s a dance song and a banger that’s sure to create a splash in clubs all throughout Africa!The song was produced by Lizer Classic and S2Kizzy. Download Audio below and make sure to share this masterpiece with your friends and loved ones. Now this great song is available for you to stream and Download on #VirginsMusic.com

DOWNLOAD AUDIO

LYRICS

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unanitega

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)
Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)
Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa Twende kamata
Kama unaisakata nyumba kwa bambata
Ile kinoma
Tegeta, Tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, Kamata
Kasi Kasi, speed 120, Kamata
Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata
Police anashika mwizi, Kamata

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema
Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Watch the Lyric Video below

Promote your music with us at a very affordable rates. For any of your desired packages, contact us via Email: [email protected] Or Whatsapp +2347050278444 .

Follow Us On Soicial Media here

Leave a Reply